Monday, December 24, 2012

USIKU WA WEUSI FUNGA MWAKA 2012 @ MAISHA CLUB ILIKUA USIPIME

ENIKA NAYE ALIPANDA KWENYE STAGE YA WEUSI NA KUTOA BURUDANI NZURI

JOH MAKINI AKIONYESHA UMAHIRI WAKE NDANI YA WEUSII

KULIA NI NIKI WA 2 NA KUSHOTO NI G.NAKO WAKIKALISHA MNO

G.NAKO NA NIKI WA 2 WAKIWAPAGAWISHA MASHABIKI WALIOJITOKEZA KUSHUUDIA USIKU WA WEUSI

G.NAKO NA NIKI WA 2 WAKIFANYA MAMBO

LODY EZZY AKIFANYA MAMBO JUU YA STAGE KAMA KAWA

MICHANO MIKALI KATI YA LORD EZZY NA G.NAKO

G.NAKO & LORD EZZY KALISHA MBAYA

LORD EZZY & G.NAKO WAKIFANYA MAMBO

No comments:

Post a Comment