MH. GODBLESS LEMA JINSI ALIVYOPOKELEWA NA WANANCHI WA ARUSHA KWA FURAHA |
KUSHOTO NI MBUNGE WA ARUSHA MJINI GODBLESS LEMA AKIWA NA JOSHUA NASSARI MBUNGE WA ALUMERU WOTE KWA FURAHA |
WANANCHI WA ARUSHA MJINI WALIVYOKUA NA FURAHA YA USHINDI WA MBUNGE WAO JUU YA KESI ILIYOKUA IMEMKABILI MAHAKAMANO |
WAKAZI WA ARUSHA MJINI WOTE KWA FURAHA KUMPOKEA MBUNGE WAO NDUGU GOD BLESS LEMA |
MAMA ALIYEONEKANA AKIWA NA FURAHA WAKATI WA KUMPOKEA NDUGU GODBLESS LEMA |
WADADA NA VIJANA WAKIWA KWENYE MSAFARA HUO |
MZEE AKIFANYA MAMBO YAKE YA VIDEO KWENYE NYOMI HILO |
ALAMA YA PEACE IKINYOSHWA JUU KWAAJILI YA CHAMA CHA CHADEMA PAMOJA NA USHINDI WA MBUNGE WA ARUSHA MJINI |
No comments:
Post a Comment