Tuesday, November 27, 2012

R.I.P LEXUS



MARAFIKI WA LEXUS WAKIWA KWENYE MAZISHI YA LEXUS NYUMBANI KWAO MAENEO YA ILBORU ARUSHA

LEXUS KIPINDI CHA UHAI WAKE

LORD EYEZ KUFANYA NGOMA MPYA KWAAJILI YA OMMY DIMPOZ NA RAY C

MWILI WA MAREHEMU SHARO MILIONARE BAADA YA AJALI YA GARI AKIWA ANAELEKEA TANGA

SCOOBY ASKARI WA MIGUU KWENYE POZ ( fans wa watengwa)

INDUSTRIES YA BONGO MOVIE MWAKA HUU 2012 YAWAPOTEZA MA ACTOR WAZURI SANA KWENUE GAME LA BONGO MOVIE.. R.I.P KWA WALIOTUTANGULIA MBELE ZA HAKI

KULIA NI LEXUS KIPINDI CHA UHAI WAKE, THEN MO PLUS, JCB, NA KULIA KABISA NI JEMBE LA KASKAZINI BOU NAKO WA N2N

YOUNG UMBWA KWENYE POZ

SCOOBY AKIWA NA WENZAKE KATIKA MAZISHI YA RAFIKI WAO KIPENZI LEXUS... R.I.P BROO

WATENGWA KAMA FAMILIA KUTOKA KIJENGE JUU KWENYE PICTURE YA PAMOJA

KUSHOTO NI DAZ KNOWLEDGE WA WATENGWA RECS AKIWA NA BABA YAKE CHINDO MAN FROM KIJENGE JUU KWENYE PICTURE YA PAMOJA

SHARO MILIONARE KIPINDI CHA UHAI WAKE KABLA YA MAUTI KUMKUTA... R.I.P BROOO

No comments:

Post a Comment